YouTube channel: NTV Kenya
Mar 5, 2026 // runtime: 00:04:16 // views: 291
Video Description from YouTube:
Dereva msaidizi Linet Ayuko ni mwingi wa imani kwamba yeye na Pauline Sheghu watatamba katika makala ya mwaka huu ya mashindano ya dunia ya mbio za magari ambayo yatafanyika tarehe 12 hadi 15 mwezi huu mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
