Linet Ayuko ni mwingi wa imani kwamba yeye na Pauline Sheghu watatamba katika WRC Safari Rally 2026 | Linet Ayuko

category: Rally
Mar 5, 2026

YouTube channel: NTV Kenya
runtime: 00:04:16 // views: 291

Video Description from YouTube:

Dereva msaidizi Linet Ayuko ni mwingi wa imani kwamba yeye na Pauline Sheghu watatamba katika makala ya mwaka huu ya mashindano ya dunia ya mbio za magari ambayo yatafanyika tarehe 12 hadi 15 mwezi huu mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Featured Racer's Profiles:

Rally